Monday, January 9, 2012

Mapinduzi Cup Nusu Fainali

AZAM vs SIMBA NI LEO USIKU
Ndoto ya Azam FC ya kutwaa ubingwa wa kwanza wa kombe la Mapinduzi, itaamuliwa leo watakapokutana na mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Simba, kwenye nusu fainali kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar saa 2:00 Usiku.
Mabingwa watetezi wa Simba wanajua watakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam waliopania kutwaa ubingwa huo kwa kucheza soka la kiwango cha juu katika mashindano hayo.
Tusubiri tuone inshallah nani kutwaa ubingwa huo?

No comments:

Post a Comment

Post a Comment