Monday, December 12, 2011

Dondoo

WACHINA WAMTAMBULISHA RASMI ANELKA
Anelka akiwa amepozi na jezi ya timu yake mpya.

Nicolas Anelka amekuwa majeruhi wa kwanza wa kocha Andre Villas Boas wa Chelsea baada ya kuihama timu hiyo na kujiunga na Shanghai Shenhua ya China.
Anelka amesaini mkataba wa miaka miwili ambao utamuwezesha kutia kibindoni £175,000/= kwa wiki.
Kila la heri Bilal Nicolas Anelka.

No comments:

Post a Comment

Post a Comment